Contacts

Monday, June 24, 2013

SOMO KWA VIONGOZI WETU WENYE NYADHIFA MBALI MBALI

NIONAVYO MIMI VIONGOZI WETU WAJIFUNZE KITU HAPA
Rais wa club ya Ac millan ya Italia na Waziri mkuu Silvio Berlusconi amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela kwa makosa mawili tofauti.Kwanza ni kitendo chake cha kufanya mapenzi na binti anayedaiwa kuwa na miaka 17 wakati yeye ana miaka 76.
Tukio hilo ambalo lilitokea mwaka 2010,nilimtimtia matattizoni mkuu huyu baada ya kuhesabiwa kuwa ni ubakaji kwa binti huyo ambaye ni changudoa mwenye asili ya Morocco.
Silvio pia amekutwa na makosa kwenye tuhuma za rushwa ambazo zinamuandana katika kipindi ambacho amekuwa waziri mkuu.Huyu ndo binti aliyemtoa udenda mzee mzima.

No comments:

Post a Comment