Contacts

Thursday, June 6, 2013

MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA MANGWEA MOROGORO UWANJANI







Kufuatia umati wa watu uliojitokeza jana kuupokea mwili wa mangwea,familia ndugu na jamaa kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya mkoa wa morogoro,kwa pamoja wameamu shughuri za kuaga mwili wa msanii huyo zifanyike ndani ya uwanja wa Jamhuri badala ya nyumbani kwa mama mangwea Kihonda Mazimbu Road.
Kwa sasa mtandao huu uko ndani ya uwanja wa Jamhuri ukushuhudia maaskali wenye mbwa wakiwasili ndani ya uwanja huo huku watoto wa shule ya msingi wakitoka madarasani wakiingia kwa wingi ndani ya uwanja wa jamhuri.

No comments:

Post a Comment