Contacts

Monday, June 3, 2013

MWILI WA ALBERT MANGWEHA WAANZA KUAGWA NCHINI SOUTH AFRICA



Muda huu wa saa kumi na Mbili kwa saa za Afrika mashariki kwa saa za South Africa ni saa kumi na Moja jioni.....tukiwa bado tupo kwenye majonzi  makubwa yakupotelewa na ndugu yetu Albert Mangweha.....Baada ya ratiba kupangika watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho...wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa
ZIFUATAZO NI PICHA 4 WATANZANIA WAISHIO SOUTH AFRICA WAKIAGA MWILI WA ALBERT MANGWEHA:



No comments:

Post a Comment