MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA ASUBUHI YA LEO
![]() |
Khadija Kopa akiwa na marehem mumewe enzi za uhai wake
Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Koppa
ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM
Jaffar Ali Yusuf amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya
lugalo.
Kwa mujibu wa baadhi ya ndugu wa marehemu wamesema
ndugu yao alikuwa anasumbuliwa na tatizo la mfumo wa upumuaji
Mungu alitoa na Mungu ndiye ametwaa jina lake lihimidiwe
|
No comments:
Post a Comment