FREIGHT REACH SERVICES LLC
expands reach in SIX African countries: Zambia, DRC, Ghana, Rwanda,
Burundi and Nigeria. Freight Reach Services opens Guangzhou, China
office with exclusive arrangement with FRS LOGISTICS LIMITED, China, please read full details on news and events.
Freight Reach Services offers
Freight Reach Services is a young
dynamic freight solutions company based in Dubai, backed by people who
have over 40 years of global experience...
VURUGU KUBWA CHUO CHA UHASIBU:....MKUU WA MKOA APIGWA MAWE, GODBLESS LEMA AFICHWA..!!
Vurugu kubwa zimeibuka chuo cha uhasibu cha Arusha baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki dunia....
Baada ya tukio hilo, wanafunzi walitoa taarifa kwa mkuu wa chuo lakini hakuwapa msaada wowote.
Walipokosa msaada,wanafunzi hao walianza kuandamana na taarifa zikafikishwa kwa mbunge Godbless lema ....
Mbunge huyo bila
hiyana akawasili na kufanikiwa kuwatuliza wanachuo hao maana nyumbani kwa Godbless
lema si mbali na chuo hicho ...
Baada ya taarifa kumfikia Mkuu wa mkoa, ilimbidi aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada ya
kugundua uwepo wa Lema alianza kuongea kwa lugha mbovu na ndipo wanachuo walipo
kasirika na kuanza kumpiga mawe.
Hali ilipochafuka,FFU waliingia kazi ya kutuliza ghasia...Hali ni
mbaya sana lakini cha kushangaza askari mmoja aliwatonya wanachuo
wamfiche Lema
Godbless Lema anasakwa mpaka sasana hajulikani alipo baada ya wanachuo kumficha kusiko julikana.