Contacts

Tuesday, February 26, 2013

GARI LA BILIONI MOJA LA DAVIS MOSHA

 hapa akiwa ndani ya gari yake nilipomtembelea kwake mikocheni
 hapa akiwa katika pozi la picha nilipomuomba kumpiga picha
 hapa akiwa na swaiba wake wakinikaribisha  kwake si mchezo jamaa kajipangaa sna
hapa nikipiga namba za gari lenye jina lake dah si mchezoo jamaa yuko juu hongera sna kaka.

SAFARI YA GRADUATION ARUSHA UHASIBU

 kaka mtu na mdogo m2 mwakihaba family
 hongera John rafiki yangu mkubwa kwa kuhitimu ilikuwa kazi ngumu na safari ndefu .
 hey mabeste wazee wa vitale na kunyora man hiza na john wakati wa graduation arusha
 marafiki zangu wakati nasoma uhasibu arusha hapa ilikuwa ndo hostel Dennis,Tumaini, na David pamoja sana
ndani ya chuo kwenye maandalizi ya gradu watu wako busy sana Selle,John na Emanuel mwakihaba na mi pia

Tuesday, February 19, 2013

WANAWAKILISHA KIBAHA VYEMA PANDE ZA DAR HONGERENI SNA

 hongera sana Victor nakutakia mafanikio mema kataka kazi yako big u dogoo
 hongera sana Kudra wish u all da best in ur career mmh 
 hey all da best Victoria haongera sna kwa uwakilishi wa kibaha
yes kibaba hongera sna wish u all da best in ur career kibaha iko juuu sna viaji vipo majungu watu wakipunguza

UJASIRIAMALI NAO MUHIMU SANA

 bongo bila kuwa mjasirimali hutoki kabisa hapa niko kwenye my own pool table maeneo ya garage extenal nikicheza na wataja wangu
 hapa mteja abwaga stick watu tukimalizia black kwa kupigwa brush ya nguvu
 hili ndo pool table limegharimu laki sita kutemgeneza na kuwa kama lilivyo ni original frm south africa tofauti na na yale ya kenice.
 hapa wateja wangu wakienedelea kucheza pool sio siri wanaenjoy sana
 kama kawa watu wanagonga pool la fredostar
masai amgonga m2 wash ya nguvu sna

Monday, February 11, 2013

BLUE MONDAY AT KINO

 at kino maskani baada ya kazi ngumu ya mchana kutwa
 with friends at kino
namuangalia mungu naipe ridhiki nyingine na siku nyingine kama hiii

Saturday, February 2, 2013

my family

 nawapenda sna wadogo zangu Queen and ludovick they mean alot to me
mama na mwana jamani nawapenda sna mama mdogo na Queen

my cute fiancee getting prepared

 cute fiancee combing her hair ready 2 go out
 mmmh luv u jamani eeh luk at her nywele mmmh shape sasa mi hoi jamani luv her much !!!!!!!
yeah waht a cute smile luv nw tightening up ur hair wit dat simple smile luv her so much...

my blog designer

 hapa ndo anaingiaz post pia nackucheck my blog ilovyokaa tax alot addy unaifahamu kazi yako sna Mungu akubariki kwa kunifanya ni shine.