Contacts

Tuesday, February 19, 2013

UJASIRIAMALI NAO MUHIMU SANA

 bongo bila kuwa mjasirimali hutoki kabisa hapa niko kwenye my own pool table maeneo ya garage extenal nikicheza na wataja wangu
 hapa mteja abwaga stick watu tukimalizia black kwa kupigwa brush ya nguvu
 hili ndo pool table limegharimu laki sita kutemgeneza na kuwa kama lilivyo ni original frm south africa tofauti na na yale ya kenice.
 hapa wateja wangu wakienedelea kucheza pool sio siri wanaenjoy sana
 kama kawa watu wanagonga pool la fredostar
masai amgonga m2 wash ya nguvu sna

No comments:

Post a Comment