Contacts

Thursday, January 31, 2013

@TUMAINI UNIVERSITY DURING MY FINAL EXAMZ

 hapa sasa ndo naanza kusoma kitu cha financial accounting
 mida ya dicussion saa
 mzee mzima namwaga lecture ya accounting watu makini wananisikiliza namwaga point
 hapa sasa ndo ubize wa wanachuo wanzangu jamani safarii ilikuwa ndefu sna
 hapa sasa maswali yamechanganya watu wanakusanya material na kufundishana what to do???
 Mwigani amwaga lecture ya somo la project na maswali yake
 aya sasawatu wanaelekezana sasa baada ya kuelewa dah what a dicussion!!!!!
 ndo tunajianda kuikabili auditing sasa watu ful kuka kwenye mti kwanza!!!!!!!


 muda umefika wa kusoma mambo ya auditing napewa somo sasa na wenzangu
 muda wa sosi watu tunakimbiana sasa baada ya kusoma
 najibu swali nakuangalia kwa makini
 huu muda wa watu kujisomea kabla ya kuingia kwenye mtihani
 hapa sasa hesabu inashushwa lazima usimame uangalie kwa makini
hapa chini chumba cha mtihani hwa maswaiba zang wa darasa nawapenda sna Vivian,Alice na Stella

Hivi ndivyo ulivyokuwa wakati wa exams zangu za mwisho wa kumalizia degreee chuoni namshukuru Mungu kwa kumaliza salama na pia kuwashukuru class mate wangu otw hapo juu wakiwa ni Mwigani,Elizabeth,Mkotima,mama Makunenge,dada Deborah,Mchungaji Samson, alex na wengine wotwe

@my best barber shop in town





hii ndo barber shop huwa napenda kwenda kushave na kufanya scrubbing pako poa sana ni classic iko executive class iko maeneo  ya makburi opposite na ghetto

Wednesday, January 30, 2013