Contacts

Tuesday, February 26, 2013

SAFARI YA GRADUATION ARUSHA UHASIBU

 kaka mtu na mdogo m2 mwakihaba family
 hongera John rafiki yangu mkubwa kwa kuhitimu ilikuwa kazi ngumu na safari ndefu .
 hey mabeste wazee wa vitale na kunyora man hiza na john wakati wa graduation arusha
 marafiki zangu wakati nasoma uhasibu arusha hapa ilikuwa ndo hostel Dennis,Tumaini, na David pamoja sana
ndani ya chuo kwenye maandalizi ya gradu watu wako busy sana Selle,John na Emanuel mwakihaba na mi pia

No comments:

Post a Comment