Contacts

Wednesday, April 24, 2013

MAZISHI YA BIBI YANGU MPENDWA SAKUNA (TUKUYU,MBEYA)


hivi ndo ilivyokuwa katika siku ya kumpuzisha bibi yetu mpendwa sakuna mama yake na mama yangu mpendwa,yalifanyika siku ya ijumaa,kijijini panaitwa lwife,masoko,karibu na tukuyu mjini.pamoja na kanisa ambalo marehemu alikuwa anasali enzi za uhai wake na ndo tulifanyia misa ya kumuaga marehemu bibi yetu mpendwa SAKUNA Mungu ailaze mahali pema peponi bibi yangu mpendwa watoto wako watakukumbuka,wajukuu pamoja na ndugu na jamaa wote.tulikupenda sna bibi ila Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi pumzika kwa amani ya Bwana.Amen.

No comments:

Post a Comment