Contacts

Monday, June 3, 2013

MWANAMZIKI WA UGANDA ALIYEKUWA ANASHIKILIWA NCHINI JAPAN KWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AACHIWA HURU


Kama utakuwa hujui chochote likitajwa jina la Iryn Namibiru utakuwa bado siyo mfuatiliaji mzuri wa muziki wa East Africa.
Iryn ni mwanamziki wa siku nyingi na mwenye heshima kubwa nchini Uganda
hivi karibuni iliripotiwa kuwa anashikiliwa na polisi nchini Japan baada ya kukamatwa na mzigo uliokuwa na madawa ya kulevya,na chanzo cha mwanamama huyu star wa wimbo wa " birowoozo  "
alienda kupiga show nchini Japan akiwa Tokyo Airport akakamatwa baada ya moja ya mizigo yake kuonekana imebeba madawa.
Iryn alidai kwambahakuwa akijua chochotena packagehiyo alipewa na mtu Uganda ampeleke ndugu yake anayeishi Japan, So hakujua kilichokuwemo ndani

Ameshikiliwa kwa siku 21,na hatimaye jumatatu iliyopita akaachiwa baada ya kuonekana hana hatia
na baada ya kutoka aliandika hivi kwenye wall yake ya facebook
"I am out, free, innocent, clean, no criminal record. I will tell you all as soon as I get home on MONDAY, God bless you all."
taarifa kutoka nchini Uganda zinasema kuwa mapokwzi aliyoyapata kuanzia Airport yamevunja recodi ya mapokezi aliyowahi kuyapata mwakilishi wa big brother Gaitan Kagwa.
bila shaka umejifunza kitu kutokana na kilichomsibu Iryn.

No comments:

Post a Comment