Contacts

Monday, March 4, 2013

R.I.P BENSON PETER MWANAFUNZI MWENZETU UMBWE

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Benson alikuwa manaharakati katika chama cha mapinduzi arusha pia nilipata kuonana nae machimboni mgodini kweli alikuwa kijana mchapakazi na pia mtafutaji. pia nilisoma nae Umbwe secondandary school mwaka 2006 japo alikuwa amenitangulia kidato.mazishi yake yatafanyika Arusha.kwa wale Wanaubwe wote wa mti safi hii ni taarifa kwenu tutakuwa katika hali ngumu ya kumkumbuka mema ya kaka yetu tulipokuwa Umbwe.Mara ya mwisho nilionana nea uwasibu arusha mwaka jana.

No comments:

Post a Comment